Habari za jioni, naomba ushauri nina dogo wangu ana miezi minne amepimwa uzito leo anaambiwa uzito ni mkubwa kuliko umri wake na anatumia maziwa ya mama yake tu, plz kwa anaejua tufanyeje kushusha uzito wake au namna ya kufanya usipande kwa kasi? Msaada tafadhali