Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 406
Habari wana JF...
Naombeni maoni na ushauri wenu.
Mdogo wangu anahitaji kusoma, katika chaguzi alizofikia ni kusoma cheti, land management and evaluation.
Kwa wale wanaoifahamu hii kozi vizuri, naombeni maelezo kwa kina.
Kwa hapa Dar, nimeenda pale ARDHI University kupata maelezo, nimeambiwa wanaanza kutoa masomo ngazi ya diploma, cheti hawatoi mpaka Tabora na morogoro.
Lakini nimeshauriwa kumpeleka private mbezi, hicho nacho sikijui. Anayekifahamu pia anipe ramani niweze kukifuatilia.
Asanteni sana.
Karibuni sana wakuu.