Mdogo wangu anahitaji kusoma Land Management and Evaluation

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
406
Habari wana JF...
Naombeni maoni na ushauri wenu.

Mdogo wangu anahitaji kusoma, katika chaguzi alizofikia ni kusoma cheti, land management and evaluation.

Kwa wale wanaoifahamu hii kozi vizuri, naombeni maelezo kwa kina.

Kwa hapa Dar, nimeenda pale ARDHI University kupata maelezo, nimeambiwa wanaanza kutoa masomo ngazi ya diploma, cheti hawatoi mpaka Tabora na morogoro.

Lakini nimeshauriwa kumpeleka private mbezi, hicho nacho sikijui. Anayekifahamu pia anipe ramani niweze kukifuatilia.

Asanteni sana.
Karibuni sana wakuu.
 
KOZI hiyo siku hizi inaitwa:Land Management , Evaluation and Registration,inatolewa pale chuo cha ARDHI Tabora.
Kwa kozi hii sifa za mwombaji ni: Englis,C,History,C,Geography D,Math,D. Ngazi ya Cheti,pia Diploma.
 

hata aliyekwambia wanatoa ngazi ya diploma kakudanganya.
Ardhi university wanaanzia ngazi ya degree.
mpeleke Tabora.
 
kozi inaitwa land management and valuation au usimamizi wa ardhi na uthamini Mali. Pale kuna chuo kinaitwa Institute of Lands kama sikosei wacheki kwa no hii. 0719 135136
 
Samahan naomba nmnijuze wakuu ivi ukisoma iyo koz unakuja kua nan na kuhsu solo lake LA ajira je lko vzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…