Traviana Tray
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 546
- 457
Kwanini usiseme ni wewe unaehitaji mkuu?mpooo? mdogo wangu amemaliza chuo,ana miaka 22 bado bikra,anahitaji mpenzi sio wa kumchezea,yupo dar. pls kama huna nia usi pm.
sifa;
.asiwe mvaa milegezo
.asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
.asiwe mlevi
.asiwe muhuni.
Ungetupia na kapicha kake ili uzi wako uwe na uzito zaidimpooo? mdogo wangu amemaliza chuo,ana miaka 22 bado bikra,anahitaji mpenzi sio wa kumchezea,yupo dar. pls kama huna nia usi pm.
sifa;
.asiwe mvaa milegezo
.asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
.asiwe mlevi
.asiwe muhuni.
Mpaka awe mwajiriwa tu au hata mimi muuza majeneza naweza kukubaliwa?mpooo? mdogo wangu amemaliza chuo,ana miaka 22 bado bikra,anahitaji mpenzi sio wa kumchezea,yupo dar. pls kama huna nia usi pm.
sifa;
.asiwe mvaa milegezo
.asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
.asiwe mlevi
.asiwe muhuni.
Yes aweke picha za full sio passport ili tuthaminishe kama ni flat screen au vipi.!Weka picha yake tumuone kwanza