Mdogo wangu anaweza kujiunga na chuo kikuu tz?

spade4spade

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
2,207
Reaction score
2,156
Wakuu ktk jf salaam.

Nina mdogo wangu aliyehitimu form 6 mwaka 1994 na alipata alama zifuatazo:

General Studies = F
Physics = E
Chemistry = S
Adv Maths = S

Naomba mnisaidie iwapo kwa utaratibu wa TCU anaweza kujiunga na chuo kikuu chochote tz ktk mchepuo wa sayansi.
 
try st. Joseph college of engineering...!!
 
Hawezi kujiunga direct ktk level ya degree ila kuna options mbil,
1.Anaweza kuanza na diploma then akaunga degree au
2.Akapga foundation course ambayo huwa inatolewa na chuo husika then anajiunga na degree
 
Asante wakuu,

Cha-phile, naomba umieleweshe mkuu iwapo DIT, UDSM, ARU au chuo kingine wana utaratibu huo wa foundation.
 
Jaribu kuangalia na SUA kwenye kozi ya agricultural engineering. Huwa hawataki makuu sana
 
Asante sana wakuu, ngoja nijaribu options zote.
 
Bila Principal Pass 2 Hakuna Degree Mkuu so kama walivyosema wadau aanzie diploma au kwa st joseph apige foundation course 1 year.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…