kindili kindili
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 242
- 54
Wana jamvi mi nna mdogo wangu wa kiume umri miaka 18..kamaliza form four mwaka jana na alikua kwenye shule ya kata ...sasa kafeli ..hebu nisaidieni nianzie wapi maana hii ni disaster..
"nchi yetu sote kidogo tule wote":israel::israel:
"nchi yetu sote kidogo tule wote":israel::israel: