kindili kindili JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 242 Reaction score 54 Feb 24, 2014 #1 Wana jamvi mi nna mdogo wangu wa kiume umri miaka 18..kamaliza form four mwaka jana na alikua kwenye shule ya kata ...sasa kafeli ..hebu nisaidieni nianzie wapi maana hii ni disaster.. "nchi yetu sote kidogo tule wote":israel::israel:
Wana jamvi mi nna mdogo wangu wa kiume umri miaka 18..kamaliza form four mwaka jana na alikua kwenye shule ya kata ...sasa kafeli ..hebu nisaidieni nianzie wapi maana hii ni disaster.. "nchi yetu sote kidogo tule wote":israel::israel:
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,540 Feb 24, 2014 #2 Yuko wapi... kama ni Dar nitafute nikuelekeze pa kumpeleka aka re-sit asafishe cheti.
kindili kindili JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 242 Reaction score 54 Feb 24, 2014 Thread starter #3 ni daslamu hapahapa tunaishi temeke...gud idea, nakupataje..niibox no basi