Kwa hiyo sababu kubwa ni dawa za kifafa?Mkuu walio wengi wakiwa na kifafa hupata hiyo hali kwasababu dawa wanazo TUMIA huwafanya viungo ku relax.pia ikiwa atakuwa na nguvu muda wote ikitokea Bahati mbaya yupo uwanjani na kikamtokea Uwezekano kupona Ni mdogo kwakua huziba pumzi yaani hupumua kwa tabu Sana
Ni dawa kwani dawa wanazo TUMIA zina usingizi wa kutosha tu, na zinafanya muscles ziregee na sababu ya kulegea huko Ni kumpuumnzisha ili kupungukiwa athari ya kifafa,hivyo kichwa wazi hawezi furukuta.ila usithubutu kumshauri aache dawa hata kidogo kwani dawa ndizo zitakazo punguza Kasi ya kifafa kwa asillimia kubwa na kumfanya baadae awe katika hali ya kawaida kabisaa na ataweza kazi vyema tuKwa hiyo sababu kubwa ni dawa za kifafa?
Hilo tatizo itakuwa lilimuanza toka akiwa mtoto mdogo ISIPOKUWA hamkuwa mkifuatilia maendeleo ktk ukuaji wake. halafu tatizo jingine wamama kutokufuuatiliaHapana Ndugu yangu hilo tatizo lilimuanza Tu ghafla akiwa primary, Ila hakuna mtu mwingine mwenye hiyo shida kwenye ukoo mzima