Mdogo wangu kanisaliti

Mdogo wangu kanisaliti

Lee2

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
46
Reaction score
15
Mi mkristo ni miaka 5 tangu nifunge ndoa na mke wangu.

Ni Mwezi 1 tangu huu mkasa kunipata.
Nilisafiri kibiashara na niliaga kuwa sitarudi kwa siku tatu mbele (nikawaida yangu ninapokuwa na safari za kibiashara), kwa siku hiyo moyo ulikataa kabisa kuendelea na safari niliamua kurudi nyumbani na nikapitia na zawadi za wanangu, mishare ya saa 3 usiku nilifika nyumbani nikasikia vicheko vya mwanaume ndani, sikujua ni nani niliendelea kusogea mpaka dirishani kuchungulia nikaona mke wangu na mwanaume wakiwa uchi wa mnyama (hawakuzima taa) wakifanya sex, niliwahi mlangoni na kufunga mlango kwa nje na nikaanza kupigia simu rafiki na jamaa ili kunipa msaada (wakati huo sijui kama ni mdogo wangu).

kufungua mlango daaa! mdogo wangu....! Iliniuma sana hata wazazi wetu na ndugu pia.

Mdogo wangu alifukuzwa nyumbani baada ya kikao cha ukoo.

Shida inayosumbua moyo wangu kwa sasa ni ujauzito aliopewa mke wangu na mdogo wangu.

Maana tuna miezi 3 hivi tena yeye mwenyewe alishinikiza kutumia mipira ili kupanga uzazi lakini kwa sasa anaujauzito na yeye kakiri mbele ya wazazi kuwa ujauzito ni wa mdogo wangu.

Wazazi mamenishauri kubaki na mke wangu lakini nafsi yangu kwa sasa hata kule kumsogelea tu haitaki any way ni mengi lakini kwa haya machache yananifikirisha sana na nakosa jibu yaani nimuache mke wangu(nimefunga ndoa ya kikristo) au nitoe mimba(dhambi)
sijielewi kwa kweli naombeni msaada wanajamvi.
 
Sitamwacha mke wangu ila kwa dhambi ya uzinzi tu... Haina sababu ya kukua shetan kama hilo ndani ya nyumba. Huu ni wakat wa kusafisha takataka kama mmefukuza mdogo wako ambaye ni damu yenu kwann mnabaki pepo lingne ndani ya nyumba?? Leo umemfumania na mdogo wako lakn kesho utamfumania na rafki yako.. Fukuza pepo hilo ndan ya nyumba
 
Sitamwacha mke wangu ila kwa dhambi ya uzinzi tu... Haina sababu ya kukua shetan kama hilo ndani ya nyumba. Huu ni wakat wa kusafisha takataka kama mmefukuza mdogo wako ambaye ni damu yenu kwann mnabaki pepo lingne ndani ya nyumba?? Leo umemfumania na mdogo wako lakn kesho utamfumania na rafki yako.. Fukuza pepo hilo ndan ya nyumba
Chukua like mkuu haya ndio maamuzi ya kiume!
 
Pole sana , kitanda hakizai Haram, tusameheane ! Mimi ni nduguyo na nikioa nawe utakuja kunikanyagia mke wangu ?
 
Dah! Dunia ina mambo hii....!Inasikitisha mno, pole sana najaribu kuvaa viatu vyako lakini mmh! Anyway jipe muda kutafakari pia jiweke karibu na Mungu akupe hekima katika lolote utaloamua. Ni ngumu, ila mna watoto wangapi? Then je tangu muoane ulishawahi kumsaliti kama ndivyo consider that japo ni ngumu lakini jiulize we ulishawakosea wangapi, je Mungu akihesabu makosa yako? Ila chukua ushauri Wangu wa a wali.
 
Samehe saba mara sabini maana yametokea tayari pia wakati unafanya fumanizi ni wazi ulijua kamwe ndgyo hawezi kukusaliti
 
We Kweli hubs akili jitu limekusaliti eti Leo unaomba ushauri? Fukuza jizi hilo kwanza usikute hata hao watoto sio wako we unakomaanalo lanini? Nilitegemea uje hapa na neno moja kuwa nimelitoa nduki ,kaka litakuletea maradh shetwaani hilo.
 
Duh!! Pole sana mkuu, hiyo ngumu kumeza aisee kama ameweza kutembea na mdogo wako atashindwa vipi siku nyingine kutembea na mtu baki?? Mana hapo wote wana makosa siyo mdogo wako tu iweje mumfukuze mdogo wako tu yeye umuache?? Wakati walizini wote, mpe likizo aende kwao akajifungue akijifungua chukua mtoto ulee hiyo ni damu ya familia yako
 
Fukuza huyo sio mke fukuza acha nae kabisa zambi zingine sio za kusamehe kijinga hivo, bora asingekuwa na mimba
 
Haina haja yakuendelea nae tayari kasha vunja uaminifu huta ka ukamwani tena utazidi kijipa presha bure mwache hafai
 
Pole ndugu siwezi kuvaa viatu vyako,stori hii inazidi kunifundisha kuwa u barchelor is better than marriage!!
 
Pole mkuu ila kwangu mimi huyo mke hapana hata sura yake nisingetaka kuiona.
 
Mlango aliotokea mdogo wako na huyu mwanamke anapaswa kutokea huo huo
 
Pole sana ...
Jiulize kama mna watoto wstaishije mkiachana...

Kama umewahi kumsaliti kwa njia moja au nyingine samehe mara saba Mara Sabin
Mkeo haifai inahitaj moyo wa ziada kulala na mwanaume ndani na kitanda mnacholala sio
 
Daah aisee mkuu una Moyo mgumu sana kwakweli yaan hata hilo la kuomba ushauri aisee? Yaani mdogo wng kanisaidia na ujauzito juu afu nikae na mke? Aisee nisije ni kakutukana bure bora niishie hapa maana jazba niliyokuuliza nayo km Mke wng vile.
 
Daa so sad kwako mkaka pole sn,nadhan c mke mwema kwako tn katembea na mdg wko kesho je??rafik yko hatashindwa kumpa papuch..diz tym uko mad try to calm dwn thn fanya maamuz yaliyo sahih kwa kuwashirikisha wazaz na ndugu zko pia..imenisikitisha sn,pole sn once again bro!
 
Mi bora wanione na roho mbaya tu ila mambo ya kukaa na ndugu siwezi kwakweli maana utaona jitu unalilisha na kumpa nahitaji yote afu shukrani yake ndio hiyo anakutombe.a Mke wako.
 
Back
Top Bottom