Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Aug 31, 2024 #1 Je, baada ya Written interview atakayofanyia Dodoma , akifaulu kwaajili ya Oral Interview, atamfanyia Mkoa Upi? Dodoma ( alouombea ) yeye mwenyewe, au Tanga (alipobadilishiwa na Utumishi).?.
Je, baada ya Written interview atakayofanyia Dodoma , akifaulu kwaajili ya Oral Interview, atamfanyia Mkoa Upi? Dodoma ( alouombea ) yeye mwenyewe, au Tanga (alipobadilishiwa na Utumishi).?.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Aug 31, 2024 #2 stay tuned...hata mimba haijatungwa unanunua nepi
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Aug 31, 2024 #3 Aisee poleni
Palmoni JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 1,968 Reaction score 3,760 Aug 31, 2024 #4 Subiri Kwanza abarikiwe pita hiyo Ya mwandiko,,,atapangiwa Kwa yanayofuatia,,Tuliza kihoro Mzazi bora
Subiri Kwanza abarikiwe pita hiyo Ya mwandiko,,,atapangiwa Kwa yanayofuatia,,Tuliza kihoro Mzazi bora
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,230 Reaction score 10,650 Aug 31, 2024 #5 Written kwenye hio current address yake (Dodoma,) oral interview Tanga