Mdogo wenu naomba ushauri wenu katika suala hili la elimu

Mdogo wenu naomba ushauri wenu katika suala hili la elimu

It is Sur_Plus

Senior Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
167
Reaction score
7
Aslaam alaykum wana Jamvi wa Jf.
Nahitaji kujiunga katika ulimwengu wa elimu ya juu kwa mwaka 2011-2012.
Naomba mnishauri ni some fani ipi na katika chuo gani kulingana na pass mark zangu za O-level na A-level. Kama ifuatavyo
O-LEVEL😀IV-III point 23 Hist-C , Geo-D ,ENG-C, Bios-B, Kisw-C, Math-D, Civ-C.
A-LEVEL: Comb-HGE
DIV-I point 7.
Hist-C, Geo-B, Eco-B, Gs-S, BAM-F.
Mapendeleo yangu: Mzumbe,UDSM,SUA
naomba kuwasilisha
 
Naona BAF umekula mswaki!! nenda tu mambo ya fedha naona ECO upo vizuri, kwani wewe unapendelea kuwa nani? haijalishi masomo uliyokuwa unasoma A-level ni kichwa chako tu huko university wapo wengi walibadilika na wakawa wazuri tu
 
Japo cijajua jinsia yako! Kama ni female nakushauri soma socialogy, ila kama ni male soma geography and statistics.
 
Una 1.7 wakati BAM una mswaki? Pole sana, kwa kombi yako kasome Real Estate management pale Ardhi... Ni ushauri wangu!
 
Omba Bsc in Acturial Science Udsm or Makerere..hiyo kozi ni nzuri sana..ila unawezaq omba pia BCOM udsm,BA economics zote ziko poa.
 
una interest ya kusoma nn?sua unaweza kupata agribusiness (ambayo ina economics ndani) and so many other courses.ukienda tcu unapata carreer counselling,utashauriwa kutokana na kilichopo sokoni na qualifications zako.maonesho ya vyuo vikuu sijui yanafanyika wapi this wk,kama uko dar ungepata ushauri kamili..
 
Dar mbali mie nipo tukuyu now
 
yote uliyoshauriwa juu ni sawa
ila tuweke wazi umepataje div 1 ya point 7 wtk BAM una mswaki?????????
statistics wkt umefeli hesabu utaiweza? economics pia ujue hesabu ila we omba kama ulivoshauriwa huku ukisali pia upate nafasi.
 
asante bt ndo maana hamna wanaopata A za 100%
 
yote uliyoshauriwa juu ni sawa
ila tuweke wazi umepataje div 1 ya point 7 wtk BAM una mswaki?????????
statistics wkt umefeli hesabu utaiweza? economics pia ujue hesabu ila we omba kama ulivoshauriwa huku ukisali pia upate nafasi.

Kwa combination aliyosoma hesabu is just a subsidiary subject haina impact kwenye point.
 
Wana JF,nilkuwa nahtaj ushaur wa course ya kusoma Kwa Point hizi 2 ya 12, HKL (D,D,D) je course zp kuna uwezekano nkapata Udsm, m napendezwa na PSPA,LAW, , je course nyengne n zp nzur kulingana na score zangu, na ushaur wa vyuo vingine.
Nawasilisha.
 
Nenda Kasome procurement and supplies Management pale Mzumbe hutaregret, embu ninongoneze JF umeifahamu vipi? Najua kwa age yako humu ndani ni wachache sana.

asante sana mie ni member tangu enzi za jambo forums wakati nilipo maliza darasa la saba
 
Japo cijajua jinsia yako! Kama ni female nakushauri soma socialogy, ila kama ni male soma geography and statistics.

acha mfume dume hata kama ni Female na yeye pia anaweza kusoma tu hiyo geog na statistics, lo!
 
Wana JF,nilkuwa nahtaj ushaur wa course ya kusoma Kwa Point hizi 2 ya 12, HKL (D,D,D) je course zp kuna uwezekano nkapata Udsm, m napendezwa na PSPA,LAW, , je course nyengne n zp nzur kulingana na score zangu, na ushaur wa vyuo vingine.
Nawasilisha.
vizuri
 
Back
Top Bottom