It is Sur_Plus
Senior Member
- Sep 28, 2010
- 167
- 7
Una 1.7 wakati BAM una mswaki? Pole sana, kwa kombi yako kasome Real Estate management pale Ardhi... Ni ushauri wangu!
una interest ya kusoma nn?sua unaweza kupata agribusiness (ambayo ina economics ndani) and so many other courses.ukienda tcu unapata carreer counselling,utashauriwa kutokana na kilichopo sokoni na qualifications zako.maonesho ya vyuo vikuu sijui yanafanyika wapi this wk,kama uko dar ungepata ushauri kamili..
Omba Bsc in Acturial Science Udsm or Makerere..hiyo kozi ni nzuri sana..ila unawezaq omba pia BCOM udsm,BA economics zote ziko poa.
yote uliyoshauriwa juu ni sawa
ila tuweke wazi umepataje div 1 ya point 7 wtk BAM una mswaki?????????
statistics wkt umefeli hesabu utaiweza? economics pia ujue hesabu ila we omba kama ulivoshauriwa huku ukisali pia upate nafasi.
Dar mbali mie nipo tukuyu now
yote uliyoshauriwa juu ni sawa
ila tuweke wazi umepataje div 1 ya point 7 wtk BAM una mswaki?????????
statistics wkt umefeli hesabu utaiweza? economics pia ujue hesabu ila we omba kama ulivoshauriwa huku ukisali pia upate nafasi.
Nenda Kasome procurement and supplies Management pale Mzumbe hutaregret, embu ninongoneze JF umeifahamu vipi? Najua kwa age yako humu ndani ni wachache sana.
Kwa combination aliyosoma hesabu is just a subsidiary subject haina impact kwenye point.
Japo cijajua jinsia yako! Kama ni female nakushauri soma socialogy, ila kama ni male soma geography and statistics.
acha mfume dume hata kama ni Female na yeye pia anaweza kusoma tu hiyo geog na statistics, lo!
vizuriWana JF,nilkuwa nahtaj ushaur wa course ya kusoma Kwa Point hizi 2 ya 12, HKL (D,D,D) je course zp kuna uwezekano nkapata Udsm, m napendezwa na PSPA,LAW, , je course nyengne n zp nzur kulingana na score zangu, na ushaur wa vyuo vingine.
Nawasilisha.