Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
history kiswakili na lang ume score vipi?vip ukiwa na 2 ya 12 (hkl), uka apply udom course hiz public adm, international relation,bachelor of project planning,managment and social dev., kuna uwezekano wa kupata?
KWA PUBLIC ADMIN INAWEZEKANA MANAAhistory kiswakili na lang ume score vipi?
natumaini umenielewaKWA PUBLIC ADMIN INAWEZEKANA MANAA
Bachelor of Arts in Public Administration (BA - PA) DM029 2 Principal passes in ARTS subjects (History/Geography/Kiswahili/English /French)
Special requirement None minimum admission pt 5 admission capacity 95 programme duration 3 fees 800,000 cut off point 5
nina d flat yan (d,d,d)history kiswakili na lang ume score vipi?
tnx m-mkweli, et muccobs wana Human resource wanataka lng na hist ucwe chini ya 4.5, sa mi nina 6 point, vp c nijarbu, ila namba mimi n mbovu! Ukinshaur zingatia na hlo, km kna course ina #natumaini umenielewa
hizi bado ni principal pass hakuna shida sana ukiangalia cutt off point nyingi UDOM NI ZA KAWAIDA NYINGI NI 5. WEWE UNA DDD YAANI 2+2+2=6 UKIANGALIA KOZI ZOTE ULINAZOTAKA UNAWEZA FITI . CHA MSINGI PITIA HIKI KITABU CHA MUONGOZO CHA TCU NI KIZURI SANA.nina d flat yan (d,d,d)
kweli hrm huwa ina maths kimtindo ndio maana ud inatolewa udbstnx m-mkweli, et muccobs wana human resource wanataka lng na hist ucwe chini ya 4.5, sa mi nina 6 point, vp c nijarbu, ila namba mimi n mbovu! Ukinshaur zingatia na hlo, km kna course ina #
mlimani wako flexible kimtindo maana huwa wangalia respond ya watu zamani walikuwa wanachukua kwa cut off point kubwa ila sasa naona wanacheki respond zaidi kutokana uwingi wa vyuoila unajua udsm, kwny ktabu cha tcu, katka column ya couse za art hawachapisha cutt-off point, sa m2 utajuaje? Na cjui kwann wamefanya hvyo.. Angalia utaona.
ahha! PSPA, Public relation and advertsiment, pale vp? mana kuna jamaa kanikata main anasema PSPA na LAW,nizisahau kabsa kwa ud.mlimani wako flexible kimtindo maana huwa wangalia respond ya watu zamani walikuwa wanachukua kwa cut off point kubwa ila sasa naona wanacheki respond zaidi kutokana uwingi wa vyuo
kwa law mlimani kwa kweli niwe mkweli watu wakifaulu sana wavulana mwisho ni div 1 .6 au 1.7 . Kwani huwa zina ushindani mkubwa sanaahha! Pspa, public relation and advertsiment, pale vp? Mana kuna jamaa kanikata main anasema pspa na law,nizisahau kabsa kwa ud.