Mdoli mkubwa wa ngono wa kike wazinduliwa

Mdoli mkubwa wa ngono wa kike wazinduliwa

kimatire

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2008
Posts
371
Reaction score
94
MDOLI wa kwanza mkubwa wa kike na wenye umbo kamili kama la binadamu (robot) unaojulikana kama “rafiki wa kike” umezinduliwa nchini Marekani ambao ni bora zaidi kuliko iliyowahi kutengenezwa huko nyuma



Ubunifu wa mdoli huyo ajulikanaye kama Roxxxy, akiwa na akili kamili ya kitaalam na ngozi ya kuvutia kama ya binadamu, umewavutia watu wengi katika maonyesho ya kila mwaka ya burudani ya watu wazima huko Las Vegas , Marekani.

“Mdoli huyo hawezi kufanya mambo kadhaa kama vile kupika na kadhalika, lakini anaweza kufanya kitu chochote kingine iwapo unanielewa ninamaanisha nini,” alisema Douglas Hines, rais wa kampuni la TrueCompanion, lililotengeneza mdoli huo wa mpira wenye urefu wa futi 5 na inchi 7, na ambao umegharimu Paundi 4,000.

Mbali na mdoli huo kuwa “tayari kwa kitendo”, moyo wa mashine wa mdoli huo, unasemekana unaweza kumvutia mwanamme yeyote kwa “upole”.

“Katika tendo la ngono, mdoli huo hukupa utakacho ikiwa ni pamoja na kuzungumza nao, kwani hukusikia, kukusikiliza na kuongea. Isitoshe huwa unapata hisia wakati unaushika na pia huwa unalala,” anasema Hines kwa kuwahakikishia wateja wake.
“Tunajaribu kuhakikisha tunatengeneza kitu ambacho kinafanana na binadamu,” anaongeza.

Mdoli huo ambao unajulikana kama mpenzi aliyetoka kwenye maabara, una sehemu zote zilizomo katika mwili wa binadamu na kwa vipimo vilevile, japokuwa hauwezi kujongea, lakini unaweza kuzungumza.
Mdoli huo ambao hivi sasa unauzwa Ulaya na Marekani, hatimaye utapatikana duniani kote
 
Sasa nye%o basi, ila anagharimu kuliko mahari ya mtoto wa kisukuma!
 
kweli huyaonapo mambo haya mjue mwisho upokaribu mwenye macho aone mwenye masikio na asikie
 
kweli huyaonapo mambo haya mjue mwisho upokaribu mwenye macho aone mwenye masikio na asikie

Kazi ya uumbaji haina mfano. Doli litaendelea kuwa doli tu. Bebu lione jinsi linavyotisha

sexrobot.jpg
 
PC yangu ilikuwa haijafunguka sawasawa na ndiyo maana nikaomba picha tuione lakini mashindano na muumba hayafai
 
Back
Top Bottom