Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo miez huhesabiwa VP? He ni kama ujauzto wanavyohesabu kuanzia 1st day of ur last period? Au LA!Mdomo mchunga, unajaa mate, huisha baada ya miezi mitatu.
Miezi mitatu ni kuanzia pale period iliposimama.Hiyo miez huhesabiwa VP? He ni kama ujauzto wanavyohesabu kuanzia 1st day of ur last period? Au LA!
Sijaelewa vizuri ka uhusiano kwa hiyo ladha "uchungu", na immune system",Kinachotokea ni kuwa immune system inadetect foreign body ndani ya mwili wako na katika kipindi hiki immune system ina shake. Baada ya miezi mitatu mwili unagundua kuwa foreign body haina madhara na mtoto anaendelea kukua
Asante sanatafuta biscuits za ginger uwe unakula kila asbh !