Mdomo Mchungu

Mdomo Mchungu

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
558
Reaction score
324
Habari wana JF,

Naomba kupatiwa ufafanuzi, tatizo la mdomo kuwa mchungu linasababishwa na kitu gani, maana ni siku ya pili sasa. Naomba msaada wenu pleaseeeeee.
 
sasa kama mchungu si uloweke na majuisi na masukari?
 
Habari wana JF,

Naomba kupatiwa ufafanuzi, tatizo la mdomo kuwa mchungu linasababishwa na kitu gani, maana ni siku ya pili sasa. Naomba msaada wenu pleaseeeeee.
Naomba ufafanue vizuri huo mdomo mchungu kivipi na wakati gani?una toa harufu yoyote?Una malaria/homa?
 
Habari wana JF,

Naomba kupatiwa ufafanuzi, tatizo la mdomo kuwa mchungu linasababishwa na kitu gani, maana ni siku ya pili sasa. Naomba msaada wenu pleaseeeeee.
  • Mdomo kuwa mchungu yaweza kuwa ni malaria,
  • Fanya hili jaribio - Lamba kiasi kidogo cha sukari , Iwapo hutasikia ile ladha ya utamu wa sukari, Hiyo ni ishara tosha kwamba una malaria.
  • Nenda hospitalini mapema ufanye vipimo kabla ya kutumia dawa yeyote. Pole sana,
Karibu
 
thank you mkuu
 
Dada yangu ananiambia akilala ucku mdomo unakua mchungu nini inasababisha hali hiyo
 
Mdomoni kuwa mchungu Kuna sababu nyingi lakini muhimu ni hizi.

Kwanza ni matatizo ya kiafya ya meno na fizi

Pia kupungukiwa na maji mwilini.

Aina fulani ya fungus za mdomoni..yeasts

Pia matumizi ya baadhi ya dawa za antibiotics na dawa za kushusha pressure au BP.

Pia matatizo ya kihomoni pia

Na pia usafi mbovu wa kinywa na meno.
 
Back
Top Bottom