LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Habarini wakuu hatimaye sasa furaha yangu imeanza kumea baada ya kupambana na kuyashinda na kuyapunguza matatizo ikiwemo kulipa kitu cha watu kilichoharibiwa na mteja wangu nisiyemtambua,
Mpaka nikaweza kupata nguvu za kuchapisha humu tena
Nakumbuka mwaka 2013 kijijini kwetu walikufa wanaume mfulilizo ndani ya miezi mitatu mpaka ikafikia watu wakawa waoga kusimama mbele ya msiba na kuongea basi bhana kuna jamaa mmoja ni wale watu maarufu na wabishi ambao hata akienda kituoni huwa hamalizi wiki amerudi,
Basi bhana yule jamaa akaamua kuwachana wanawake pale msibani kwamba akifa mwanaume mwingine watazika wao na kuchimba kaburi,
Baada ya msiba kuisha yule jamaa ndani ya wiki moja akafariki kwa kuumwa tumbo yeye ndo akawa kama wa mwisho kwani wanaume waligoma kufanya mazishi mpaka wanawake wakawabembeleza na kuahidi watamtafuta anayefanya hivyo,
Ikawa mwisho wa hayo matukio ya mfulilizo walienda wanaume kama 10 ndani ya miezi 3.