K karma alvin Member Joined Jan 9, 2013 Posts 51 Reaction score 8 Dec 10, 2013 #1 Wana jf mwenzenu ninatatizo kidonda kwenye mdomo wa juu kimetokea gafla siokikubwa sana ila naona kama hakiponi alafu kutokana na yale majimaji yake kinataka kuambukiza na kwenye mdomo wa chini. Je tatizo ni nini?
Wana jf mwenzenu ninatatizo kidonda kwenye mdomo wa juu kimetokea gafla siokikubwa sana ila naona kama hakiponi alafu kutokana na yale majimaji yake kinataka kuambukiza na kwenye mdomo wa chini. Je tatizo ni nini?
K kiparah JF-Expert Member Joined Sep 7, 2010 Posts 1,173 Reaction score 117 Dec 10, 2013 #2 Nenda hospitali!