Mdosi apigwa faini kwa kukojoa hadharani

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Muhindi mmoja alikamatwa akikukojoa njiani, akaambiwa kulipa faini ya shs 1000 lakini yeye Akalipa 1500, kuulizwa hiyo 500 zaidi yanini ..Akasema,,, wakati iko nakujoa iko jamba kidogo....
 
Hapo kwenye red kaka
 
Mmh! wahindi kwenye kujamba ni waaminifu lakini kulipa kodi TRA hawana uaminifu huo.
 
Muhindi mmoja alikamatwa akikukojoa njiani, akaambiwa kulipa faini ya shs 1000 lakini yeye Akalipa 1500, kuulizwa hiyo 500 zaidi yanini ..Akasema,,, wakati iko nakujoa iko jamba kidogo....

lmao.....thx buddy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…