Mdude Chadema: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anahusika kutekwa kwa Shadrack Chaula. Aliwahi kuagiza niuliwe

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
1000030515.jpg
 
Ishu ya huyo dogo kuchoma picha aliyoichora mwenyewe ni huyu huyu Homera ndiyo aliikuza sana hadi akashitakiwa na kuhukumiwa kifungo, wasamaria wema wakamchangia faini akatoka nje akiwa huru lakini Homera hakuridhika sasa kijana haonekani lazima Homera ana mkono wazazi na ndugu zake wasikubali Homera ndiye mtu wao wafanye liwezekanalo iwe ndumba au mizimu lazima wajibu mapigo.
 
Chawa! Si ni picha yake aliichora mwenyewe? Shida Iko wapi? Kiherehere cha machawa!
 
Ila Mdude bana. Asa aingie kwenye 18 mara ngapi mkuu, si unasema alishaagiza uuwawe kwenye kikao kabisa au hii sio 18?
 
Back
Top Bottom