Mdude hachagui aseme nini na wapi!

Mdude hachagui aseme nini na wapi!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
johnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.

Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira yetu let him be moderated so as to maintain a calm environment currently prevailing kwenye mikutano ya hadhara.
 
Serikali ilichomfanya hawezi kurudi nyuma hakya mungu
 
Niliwahi mwambia Tweeter..ajaribu kuangalia maneno anayotamka...ataponzwa na atakaa peke yake gerezani🙌
 
Mwanaharakati mzuri unayemuunga mkono ajabu unataka awekwe chini ya uangalizi, kama hivi ndivyo, basi hawezi kuwa mwanaharakati mzuri tena, kwasababu huyo atakuwa ha-fit kwenye mazingira ya kisiasa aliyopo.

Kumuita mzuri halafu kutaka awekwe chini ya uangalizi ni sawa na kumfundisha unafiki, unataka awe plastic, ili kesho nae muanze kumuita mlamba asali!, muache abaki kama alivyo, kama akikosea mahakama zipo apelekwe huko akashtakiwe.
 
johnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.

Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira yetu let him be moderated so as to maintain a calm environment currently prevailing kwenye mikutano ya hadhara.
Mdude hana tatizo, hajafikia usemahovyo wa kusema kwamba yeye hajaleta tetemeko mbele ya adhara iliyoathirika na tetemeko. Dogo ni mstaarabu sana.
 
johnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.

Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira yetu let him be moderated so as to maintain a calm environment currently prevailing kwenye mikutano ya hadhara.

..mbona nimemsikiliza Mdude akielezea jinsi alivyokamatwa hivi majuzi na hakumtukana mtu yeyote?

..hebu tuletee video au maandishi ya Mdude ili wasomaji wako tujiridhishe kama yeye ndiye mkosaji, au waliomteka / waliomkamata ndio wakosaji.

..Msikilizeni Mdude akielezea jinsi alivyokamatwa hivi majuzi.

Serikali ilichomfanya hawezi kurudi nyuma hakya mungu
Ni sawa, ilimwonea ana haki ya kusema madhira yake lakini kwa sasa ajaribu kuchagua aseme nini na wapi. Samia amejaribu kuleta utengamano maana kwa nchi zetu za kifalme (mfalme ni Mungu au zaidi ya Mungu-kwa nchi zetu) angeliweza kuendeleza mauaji ya magufuli.
 
Hawezi labda asiongee kabisa, yani Tundu Lisu asimseme vibaya Magufuli?! Kivipi Sasa?! Yani Mdude asiongee kabisa maana lazima atatapika nyongo tu, hamna namna.
 
..mbona nimemsikiliza Mdude akielezea jinsi alivyokamatwa hivi majuzi na hakumtukana mtu yeyote?

..hebu tuletee video au maandishi ya Mdude ili wasomaji wako tujiridhishe kama yeye ndiye mkosaji, au waliomteka / waliomkamata ndio wakosaji.

..Msikilizeni Mdude akielezea jinsi alivyokamatwa hivi majuzi.

Sijasema ni mkosaji, hapana, ila ajaribu kuchagua maneno ya kusema akiwa kwenye jukwaa , maana najua watampa Mic ahutubie. Tunajaribu kuleta maridhiano, hivyo ni vema kuchagua la kusema bila ku compromise our destination..ie KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI!
TAKE NOTE: by the way, hiyo heading siyo yangu , Mods wamei edit kwa kuito kwenye main body ya andiko langu my heading ilikuwa kumwalika johnthebaptist aje tumsikilize Mdude
 
Niliwahi mwambia Tweeter..ajaribu kuangalia maneno anayotamka...ataponzwa na atakaa peke yake gerezani🙌
Uko sahihi, mimi namuunga sana mkono Mdude, lakini ni vema aukachagua useme nini na wapi kwa mazingira yetu haya ya mtawala mfalme! wa kiafrika bila ku compromise destination yetu ya KATIBA MPYA
 
johnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.

Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira yetu let him be moderated so as to maintain a calm environment currently prevailing kwenye mikutano ya hadhara.
Hachelewi kumlipukia Mbowe kalamba asali. Mdude akili yake anaijua mwenyewe
 
NATOFAUTIANA NA WEWE KWA HILO. MAGUFULI HASWEMWI VIBAYA, BALI WATU WANASEMA ALIYOYAFANYA, MABAYA KWAO NA KWA WALIO WENGI AMBAO ALIONA NI WAPINZANI WAKE
Basi asisahau kumsema na Mbowe
 
Chadema wasione shida kumtafutia mtaalamu wa saikolojia au kumpeleka hospitali kabisa. Mdude Ana shida
Hana shida ila he is very REACTIONARY, wapo watu wa calibre hiyo, wako wengi sana na hawana tatizo kichwani hata kidogo. Ila kwa vile chama chake kime kwenye kutafuta maridhiano, achague la kusema bila ku compromise our destination: KATIBA MPYA!
 
Back
Top Bottom