Serikali ilichomfanya hawezi kurudi nyuma hakya mungujohnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.
Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira yetu let him be moderated so as to maintain a calm environment currently prevailing kwenye mikutano ya hadhara.
Niliwahi mwambia Tweeter..ajaribu kuangalia maneno anayotamka...ataponzwa na atakaa peke yake gerezanišjohnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.
Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira yetu let him be moderated so as to maintain a calm environment currently prevailing kwenye mikutano ya hadhara.
Mdude hana tatizo, hajafikia usemahovyo wa kusema kwamba yeye hajaleta tetemeko mbele ya adhara iliyoathirika na tetemeko. Dogo ni mstaarabu sana.johnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.
Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira yetu let him be moderated so as to maintain a calm environment currently prevailing kwenye mikutano ya hadhara.
johnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.
Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira yetu let him be moderated so as to maintain a calm environment currently prevailing kwenye mikutano ya hadhara.
Ni sawa, ilimwonea ana haki ya kusema madhira yake lakini kwa sasa ajaribu kuchagua aseme nini na wapi. Samia amejaribu kuleta utengamano maana kwa nchi zetu za kifalme (mfalme ni Mungu au zaidi ya Mungu-kwa nchi zetu) angeliweza kuendeleza mauaji ya magufuli.Serikali ilichomfanya hawezi kurudi nyuma hakya mungu
Hawezi labda asiongee kabisa, yani Tundu Lisu asimseme vibaya Magufuli?! Kivipi Sasa?! Yani Mdude asiongee kabisa maana lazima atatapika nyongo tu, hamna namna.Ni sawa, ilimwonea ana haki ya kusema madhira yake lakini kwa sasa ajaribu kuchagua aseme nini na wapi. Samia amejaribu kuleta utengamano maana kwa nchi zetu za kifalme (mfalme ni Mungu au zaidi ya Mungu-kwa nchi zetu) angeliweza kuendeleza mauaji ya magufuli.
Sijasema ni mkosaji, hapana, ila ajaribu kuchagua maneno ya kusema akiwa kwenye jukwaa , maana najua watampa Mic ahutubie. Tunajaribu kuleta maridhiano, hivyo ni vema kuchagua la kusema bila ku compromise our destination..ie KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI!..mbona nimemsikiliza Mdude akielezea jinsi alivyokamatwa hivi majuzi na hakumtukana mtu yeyote?
..hebu tuletee video au maandishi ya Mdude ili wasomaji wako tujiridhishe kama yeye ndiye mkosaji, au waliomteka / waliomkamata ndio wakosaji.
..Msikilizeni Mdude akielezea jinsi alivyokamatwa hivi majuzi.
Uko sahihi, mimi namuunga sana mkono Mdude, lakini ni vema aukachagua useme nini na wapi kwa mazingira yetu haya ya mtawala mfalme! wa kiafrika bila ku compromise destination yetu ya KATIBA MPYANiliwahi mwambia Tweeter..ajaribu kuangalia maneno anayotamka...ataponzwa na atakaa peke yake gerezaniš
Uko sahihi, wote mdude na lisu wapelekwe Milembe wakapate matibabuChadema wasione shida kumtafutia mtaalamu wa saikolojia au kumpeleka hospitali kabisa. Mdude Ana shida
NATOFAUTIANA NA WEWE KWA HILO. MAGUFULI HASWEMWI VIBAYA, BALI WATU WANASEMA ALIYOYAFANYA, MABAYA KWAO NA KWA WALIO WENGI AMBAO ALIONA NI WAPINZANI WAKEasimseme vibaya Magufuli
Hachelewi kumlipukia Mbowe kalamba asali. Mdude akili yake anaijua mwenyewejohnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.
Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira yetu let him be moderated so as to maintain a calm environment currently prevailing kwenye mikutano ya hadhara.
Basi asisahau kumsema na MboweNATOFAUTIANA NA WEWE KWA HILO. MAGUFULI HASWEMWI VIBAYA, BALI WATU WANASEMA ALIYOYAFANYA, MABAYA KWAO NA KWA WALIO WENGI AMBAO ALIONA NI WAPINZANI WAKE
Hana shida ila he is very REACTIONARY, wapo watu wa calibre hiyo, wako wengi sana na hawana tatizo kichwani hata kidogo. Ila kwa vile chama chake kime kwenye kutafuta maridhiano, achague la kusema bila ku compromise our destination: KATIBA MPYA!Chadema wasione shida kumtafutia mtaalamu wa saikolojia au kumpeleka hospitali kabisa. Mdude Ana shida
Hata Mwenyekiti apelekwe Sober house!! Baada ya miezi sita wanaweza kurudi sasa kuendelea na mikutanoUko sahihi, wote mdude na lisu wapelekwe Milembe wakapate matibabu
Kwa nini unasema hivyo?Basi asisahau kumsema na Mbowe