Mdude hachagui aseme nini na wapi!

Chadema wasione shida kumtafutia mtaalamu wa saikolojia au kumpeleka hospitali kabisa. Mdude Ana shida
Huko ni kutaka kuwasumbua wataalam wa saikolojia bila sababu, mdude na lisu wanatakiwa kuwa chini ya uangalizi wa madaktari wa vichaa. Milembe hospital ndiyo mahali panawafaa.
 
Hata Mwenyekiti apelekwe Sober house!! Baada ya miezi sita wanaweza kurudi sasa kuendelea na mikutano
Yes, mwenyekiti anaweza kutafutiwa mtaalamu wa saikolojia ili asaidiwe tatizo lake la tungi, lakini mdude na lisu ni Milembe kwa madaktari wa vichaa. Hao tatizo lao siyo psychological, ni brainal.
 
Ni matokeo ya mateso aliyokuwa subjected kwenye utawala wa Magufuli ambao ulikuwa unaogopa wakosoaji.

Mdude ana Historia ngumu sana. Hajui hata wazazi wake wako wapi, wala hajui kwao ni wapi. Hata viongozi wa CDM hawajui whether ni Mtanzania au Mkongo . Alizaliwa akajikuta anaishi tu na wasamaria wema. Up bringing yake ndiyo inamfanya awe kama myama, yaani fearless.

Siyo kwamba ana ujasiri bali maisha kwake hayana maana. Yuko kama mnyama akifa sawa, akijeruhiwa sawa, akilala shimoni sawa.

Mwenye akili nzuri, malezi na familia hawezi kutoa kauli kama ile pale Barracuda June 2021 siku 3 tu baada ya kutoka kwenye mateso kama yale.
 
Kwa aliyopitia ni ngumu kumbadli..
 
Mfatilie zaidi tweeter utaelewa mkuu...yaani kajitoa mnoo ufahamu
 
Ina maana hajui alitokea wapi?? Bas kwa guts zile naamini sio mTz...watz ni waoga mno!inaumiza
 
Mdude yupo sahihi Sana mtanzania ukimwambia ukweli anasema umemtukana mdude anatoa dozi kwa kuongea ukweli nyie mnaomuona ni kichaa ni kwasababu mmezoea kuishi kwa unafikuna.. and nothing else.
 
Hatutapata Katiba mpya Kwa kucheza kwa sheria na taratibu za CCM
 
Thibitisha maneno yako, vinginevyo majungu tu.
 
MDUDE NA LISU NA WENGINE NI ZAWADI NCHI TUMEPEWA NA MUNGU. TUWATUMIE NA KUWATAMBUA KWA MASLAHI YA NCHI. SIO KUWAONA ADUI. NINGEKUWA RAIS NINGEUNDA TAASISI AU KITENGO RASMI CHA UKOSOAJI. UKOSOAJI NI UBUNIFU UNAOLETA MAMBO MAPYA NA KUBORESHA MAMBO. NI WAZURI KULIKO WENYE KUKUBALI KILA JAMBO. KAMA VILE KUNAUVUMBUZI NA UBORESHAJI WA VITU VYA KITEKNOLOJIA HIVYOHIVYO HATA NYANJA ZA KIJAMII. HAO NI LULU NA HAZINA. KWANINI WAONEKANE WABAYA NA ADUI.
 
Hachelewi kumlipukia Mbowe kalamba asali. Mdude akili yake anaijua mwenyewe
Tuna hoja ya msingi hapa, acha utoto! Mbowe ni another level! Asali wakati amewekwa gerezani almost a year! Acha utoto!
Mdude is still being groomed to be a perfect politician. lazima awe moderated! Tuko kwenye maridhiano, lazima tuangalie kauli zetu zisizid sana kuwaudhi upande mwingine BILA KU COMPROMISE OUR MAIN MISSION-KATIBA MPYA!
 
Uko sahihi kabisa. Mdude ni mzuri sana tena sana. lakini kuna wakati kauli zinakuwa na ukakasi! He is good! Hasa wakati huu wa maridhiano.
 
Jamaa akiona halaiki ya watu huwa kichwa kinapata Moto huwa inatakiwa akiwa anaongea awepo mtu atakaekua anammwagia maji kichwani ili kupooza rejeta ya ubongo
 
Kwa aliyopitia ni ngumu kumbadli..
Mshana Jr , Mdude is being groomed to be a perfect politician. Lazima kum moderate aweze kufika huko tunakotarajia afike. Ni kijana mzuri sana, mwanaharakati mzuri sana. Kwa maridhiano yanayoendelea, lazima tuchague tuseme nini na tuache nini BILA KU COMPROMISE OUR MAIN MISSION: KATIBA MPYA NI LAZIMA
TAKE NOTE: By the way heading mods wameibadilisha. Sikumtaja mdude kwenye heading, nilimweka kwenye main body ya post yangu
 
Sasa mnategemea kuongoza nchi kisa tu mtu hachagui cha kusema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…