Mdude Nyagali: Kati ya mashahidi nane kesi ya Mbowe nimewatambua ni wale walioniteka na kunitesa

Huyu punda wa ngada nae atulie.
Aliahidi atamnyoa mama kwa kutumia wembe uleule.
 
Hii kesi watajuta kuifungua.

Kesi ya Mbowe na maamuzi yalifanyika mpaka sasa, yanatosha kuifanya hii kesi kuingia katika orodha ya maajabu ya dunia.

..jitihada za Mdude kufungua kesi dhidi ya maofisa wa polisi waliomtesa zimefikia wapi?

..hili suala ni muhimu sana na ni vizuri Chadema na taasisi za kutetea HAKI wamsaidie Mdude ktk shauri lake.
 
Hawa watu wataifuta hii kesi na kuushangaza ulimwengu kwanini walikurupuka.
 
..jitihada za Mdude kufungua kesi dhidi ya maofisa wa polisi waliomtesa zimefikia wapi?

..hili suala ni muhimu sana na ni vizuri Chadema na taasisi za kutetea HAKI wamsaidie Mdude ktk shauri lake.
Hilo lipo na litaibuka likiwa limekamilika ili kupunguza mkanganyiko wa kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…