Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
-
- #61
Tofautisha kushitaki kwa mume wako kuuwawa na kufungua madai ya kupata hasara baada ya mume wako kuuwawa...Ndio.
..mjane wa Lt.Jenerali Imran Kombe aliwashtaki kwa kumuua mume wake kimakosa.
..mahakama iliamua alipwe kutokana na makosa ya polisi.
..nilitegemea mjane wa Daudi Mwangosi naye ashtaki jeshi la Polisi kwa kumlipua na kumuua mume wake.
Ilikuwa fair judgement. Najaribu kulinganisha na fidia anayotakiwa kulipwa membe kwa kukashifiwa na musiba, sijui mahakama iliafikiana vipi na membe kulipwa zile bilioni!Hata hivyo, Serikali haikuridhika na hukumu hiyo na ilikata rufaa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania ambayo kimsingi nayo iliafiki Serikali kulipa fidia isipokuwa ilipunguza kiwango cha fidia hadi kufikia Sh200 milioni.
Duh!!!, Kimeumana.Serikali imeamua kujivua nguo hadharani na kubaki uchi wa mnyama.
Na mic hizo hizo wengine wananatumia tena hata hazjafanyiwa usafi, Interview za kijingajinga tu.Sema Mduda akiongea kwa nguvu midomo huwa inajikunja-kunja kama vile anatumia Ufilolyo au Mbogoshi!
Nikisoma hapa inaonekana jinai inaanza baada ya uchunguzi wa polisi, mtuhumiwa kupelekwa mahakamani, kukutwa na hatia kisha hukumu.Madai ya familia ya Luteni Jenerali Imran Kombe
Baada ya polisi hao kupatikana na kuhukumiwa adhabu ya kifo kwa kile Jaji Buxton Chipeta alichosema: “Uzembe wa hali ya juu”, mjane wa Kombe, Roselyne Kombe alifungua kesi ya madai dhidi ya Serikali.
Mjane huyo na watoto wa marehemu, walifungua kesi Mahakama Kuu wakiidai Serikali fidia ya Sh690 milioni kwa msingi kuwa kifo cha Kombe kiliifanya miradi iliyoanzishwa na marehemu kupoteza mwelekeo na kufa.
Oktoba 4, 2001, Jaji Lawrence Mchome ambaye sasa amestaafu, aliiona Serikali kuwa inawajibika kuilipa familia hiyo fidia kutokana na vitendo vya watumishi wake hao wawili lakini ikaiamuru ilipe fidia ya Sh300 milioni.
Hata hivyo, Serikali haikuridhika na hukumu hiyo na ilikata rufaa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania ambayo kimsingi nayo iliafiki Serikali kulipa fidia isipokuwa ilipunguza kiwango cha fidia hadi kufikia Sh200 milioni.
cc Gagnija , Kamanda Asiyechoka
mahita na Gudluck ahsante wajisalimishe au!!?? Familia Sao zitawajibiaHao lazima lazima watakuwa mahuta na gudlaki
Polisi anashitakiwa na akibainika na kosa anasimamishwa kazi harafu anatinga mahakamani kila siku Kama ollesabaya.Polisi wa Tanzania wanashitakiwa?
Hawa jamaa wanalindana sana.Nikisoma hapa inaonekana jinai inaanza baada ya uchunguzi wa polisi, mtuhumiwa kupelekwa mahakamani, kukutwa na hatia kisha hukumu.
Baada ya hukumu ndio inakuja kesi ya madai kama inavyoonekana hapo juu kwenye habari yako.
Hapa inavyoonekana haiwezekani kufungua kesi ya madai bila kwanza mdaiwa kupatikana na hatia ya jinai, na hapa ndipo ugumu unaweza kutokea.
Utatokea pale ambapo polisi watatakiwa kufanya uchunguzi wa watuhumiwa (polisi wenzao) ili kumfungulia kesi ya jinai, naamini jamaa hapa watabana makusudi kwasababu mlalamikaji atakuwa na "vinasaba vya upinzani", tofauti na ilivyokuwa kwa mke wa Kombe.
kikosi cha WATU WASIOJULIKANA
Yes. It is true that the case is a world wonder.Hii kesi watajuta kuifungua.
Kesi ya Mbowe na maamuzi yalifanyika mpaka sasa, yanatosha kuifanya hii kesi kuingia katika orodha ya maajabu ya dunia.
Hawa wote walipigwa kwa maagizo ya mashetani ccm. Ugaidi unajua?Tatizo Mdude na wenzake walianza kufanya vitendo vya kigaidi bila wao kujijua walianza kuunda vikundi vya kijeshi wakitangaza kwenda msituni nk ni lazima ukifanya videndo vya kigaidi ushughulikiwe kigaidi dawa ya moto ni moto.
Na tatizo halikuanzia kwenye kuweka siasa za harakati Bali ni pale walipo vaa magwandwa wakijiaminisha kwamba wao ni mgambo hivyo wapo juu ya majeshi yote.
Kwahiyo majeshi yanapopambana na majeshi ya msituni lazima mbinu za kijeshi zitumike ndiyo maana huoni nguvu kama hiyo ikitumika kwa vyama vingine vya kiraia.
Jinsi mnavyoweka nguvu kubwa mahakamani mnatoa fursa ya wenzenu kutekeleza kazi zao bila bughudha.
Makao mapya ndio Mkoa gani huo Boss?Huyo goodluck anamiliki kipub mitaa ya makao mapya,wenzake kamati ya roho mbaya ndio hushinda hapo na kunywa