comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Amenadika Mdude Nyagali kwenye Mtandao wa X.
Kwa wale wageni ambao hawajui mambo ya uchaguzi ndani ya vyama n.k.
1. Posho za wajumbe hutolewa mapema tu wanapowasili na wahasibu walioteuliwa pamoja na viongozi hadharani kwa kuhakiki majina kisha kusaini.
2. Posho huwa haitolewi uchochoroni kama hivi kwa kificho tena na mtu asiyekuwa mhasibu wala sio kiongozi wa ngazi husika.
3. Posho huwa haitolewi katikati ya zoezi la uchaguzi linavyoendelea kama huyu.
4. Nauli hutolewa baada ya zoezi kukamilika hadharani kwa kila mjumbe kuwasilisha tiketi yake kwa wahasibu.
Kwa kifupi hiki kinachoendelea Mlimani City ni rushwa na hongera sana vijana kwa kuidhibiti.