johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiongozi wa Chadema mkoani Songwe Mh Mdude Nyagali amesema Tundu Lisu aliombwa kujiunga Chadema baada ya kuwatetea Bila Malipo wanachadema waliokuwa Magerezani wakati wa Utawala wa Mkapa
Lisu aliwatetea Bure wanachadema wengi mkoani Mara ndio Uongozi ukaona Roho yake ya ukarimu na kumuomba awe Mwanachama wa Chadema
Ahsanteni Sana 😃
Lisu aliwatetea Bure wanachadema wengi mkoani Mara ndio Uongozi ukaona Roho yake ya ukarimu na kumuomba awe Mwanachama wa Chadema
Ahsanteni Sana 😃