Mdude Nyagali, naona unatema cheche kwenye keyboard ya compyuta yako, njoo saiti na bango lako uandamane

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Mdude huwa akishapiga misokoto yake, akijiangalia kwenye kioo huwa anajiona amefikia ukubwa wa tembo au ana meno makali kama ya simba.

Nilitarajia nimuone pale Mbeya ofisi ya RPC akilianzisha. Taarifa zilizopo ni kwamba anachati akiwa uvunguni mwa kitanda chake.

Huyu ni simba wa kuchongwa kwa tofali za barafu, jua likiwaka anayeyuka
 
Kuwa tu makini, usijisahau Kupambana na WAPINZANI ukasahau chupa ya maji mezani.
 
Mdude huwa akishapiga misokoto yake, akijiangalia kwenye kioo huwa anajiona amefikia ukubwa wa tembo au ana meno makali kama ya simba...

..kwani Polisi ndio Ccm?

Mdude ni mwanasiasa, anapaswa kupambana na wanasiasa wenzake, sio Polisi.

..wakati mwingine UvCcm mnatoa kauli zinazochochea watu kuamini madai kwamba Ccm inabebwa na Polisi.
 
Si tumesharuhusiwa kukusanyika na mabango yetu?! Sasa unamtisha nani?
 
Acha ujinga wewe bado unashabikia ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…