hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,439
- 2,442
Punguza ukali wa maneno ,wewe pia umezaliwa Na mwanamke, Na Nina uhakika umezaa pia, huwa yanazunguka haya mwanangu...Kweli kwa mdude najiuliza ule ubabe wake mbona haujamsaidia ? tumejifunza nini? usiwe nyumbu elimika , elewa nataka kukupa ujumbe gani? kuwa kimbelembele kinakuponza kama individual Maria analiwa na mumewe kamchochea Mdude leo mdude familia yake inalelewa na madereva boda boda kwa kumgongea mkewe
Angekamatwa apelekwe mahakamani, ushahidi upoDah.... kwaiyo inamaana kauliwa au?mbona nimeona neno mjane kwa mkewe..ila dogo alikuwa ana maneno makali sana
Kwahiyo kwa kauli hii utekaji na mauwaji nihalali kwa watu?. Mwisho natoa ushauri kwa vijana wenye miheko, siasa inafanywa majukwani kwa taratibu halali kujifanya kichaa unakuja na ushabiki na uhuni wa usela nondo utaishia kuwa simulizi kabla hujatimiza ndoto zako za maisha .
Nini? Kwanza hizo crimes zinalinganishikaje na suala la Mdude?hawakuweza
Mdude_Nyagali wa matusi? Sasa ana faida gani ? Mtu kila akiiingia social media ni kutukana viongozi wa nchi tu?? Tanzania imekuwa mahali salama pa kuishi bila Mdude..hakustahili kuuwawa.
..waliomuua Mdude wameichafua nchi, na ndio waliosababisha machafuko na mauaji ya Oct 29.
Hawezi kutokea fyatu mwingine anayefanana na Mdude. Case closedHuko ni kufilisika kifikra. Mdude stood for an idea. Wazo halifi kwa risasi. Ukimuua mtu mmoja wanaibuka wengine wa aina yake (au jeuri zaidi). Utaua wangapi?
You can’t be serious!Hawezi kutokea fyatu mwingine anayefanana na Mdude. Case closed
Kwako naona ndio penye upuuzi.1. Kuna mwanaharakati mmoja hivi alijipatia umaarufu sana anaitwa mdude Nyagali AKA SUMU YA NYIGU
Alikuwa anajisifu sana kuwa yeye ndo alimnyoa mwendazake na panga bila maji kwa kauli zake mwenyewe
na Maria sarungi alikuwa anampamba balaaaa , wewe kidume hawakuwezi umewashika pabaya mara hivi mara vile makauli kibao ya kumtia moyo masikini yule kijana mdogo.
2 Aliwatukana sana polisi kuwatishia ma OCD kuwa wakigusa tu atawarudishia wembamba wa kipindi wanaingia jeshini, very misrespect to the system naomba sikilizeni clip zake halafu tujifunze kitu
3. Mwisho natoa ushauri kwa vijana wenye miheko, siasa inafanywa majukwani kwa taratibu halali kujifanya kichaa unakuja na ushabiki na uhuni wa usela nondo utaishia kuwa simulizi kabla hujatimiza ndoto zako za maisha .
TUELIMIKE TUWE WASTAARABU TUIPENDE NCHI YETU , BAADA YA MATAMBO YOTE LEO KAMUACHA MJANE ANALIWA NA BODABODA NA MTOTO ANALELEWA KWA KUUNGA UNGA
View: https://www.youtube.com/watch?v=P9-O5Uw_two - Simwogopi mtu Tanzania namwogopa mungu tu, polisi leo njooni niwashikishe adabu
MDUDE USO KWA USO NA LIJUALIKALI MBABE NANI - Mwaka huu watajua nywele zinanyolewaje
View: https://www.youtube.com/watch?v=5MXLOHxfMQ4- mimi nimepambana na miamba sio level za ma ocd, wewe ocd njoo mavi yakuishe tumboni
Mdude_Nyagali wa matusi? Sasa ana faida gani ? Mtu kika akiiingia social media ni kutukana viongozi wa nchi tu?? Tanzania imekuwa mahali salama pa kuishi bila Mdude
Labda wewe,sisi huku mbeya hutwambii kitu kuhusu shujaa wetuHilo lijamaa lilikuwa Halijitambui kabisa. Lilikuwa na matusi machafu sana. Nililionya sana juu ya kuacha matusi lakini likawa halisikii wala kuelewa. Ona sasa hakuna anayelikumbuka wala kulizungumzia.
baada ya kumuuwa mmefanikiwa kuwanyamazisha wote msiowapenda?baada yeye kufa nchi imetulia?1. Kuna mwanaharakati mmoja hivi alijipatia umaarufu sana anaitwa mdude Nyagali AKA SUMU YA NYIGU