Mdudu gani huyu?

Mdudu gani huyu?

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,580
Reaction score
1,773
...
 
Attachments

  • IMG_20230704_234653_767.jpg
    IMG_20230704_234653_767.jpg
    125 KB · Views: 23
Weka choo chako katika mazingira safi.

Sijui jina rasmi. Nawajua kwa jina la kunya kunya.

Hutokea haswa choo kinavyojaa. Hao wanahusika kuvunja vunja mavi. Sasa choo kikijaa wanakuwa kwa juu. Wanatoka kupiga misele. Nadhani harufu ya nya zinakuwa kali.
 
Karibu Kuna mifugo yah ngurue
 
Ni aina ya funza hupatikana sehemu zenye uchafu jalalani au chooni
 
Back
Top Bottom