MDUDU HATARI. soma vizuri alafu share ili kuokoa maisha yetu.

HadithiZaRuvuly

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
369
Reaction score
114
Jamani kuna mdudu (anafanana na mnyoo) anaye kaa kwenye mboga za majani pia huyo mdudu hafi kwa kupikwa unashauriwa kuosha mboga za majani kwa chumvi na maji ya uvuguvugu maana ni mdogo anaganda kwenye mboga hizo za majani kama konokono na ana umbo dogo ila akiingia tumboni anakuwa haraka.

Dalili ni tumbo kuvimba kwa haraka na ndani ya muda mfupi (3 to 6 hours) inategemea na immunity yako. Pamoja na maumivu ya tumbo

Dawa bado haijafahamika lakini mpaka sasa tiba yake ni OPERATION kubwa ya tumbo kumtoa huyo mdudu

Kuna mtoto alivimba tumbo baada ya kumla na amefanyiwa operation leo ila amefariki ni hapa Tanzania tena Arusha

Jamani tuwe makini na mboga za majan hasa za kula kwa mamantilie

Sambaza na marafiki taarifa ziwafikie. [emoji651][emoji651][emoji651]
By othuman ruvuly
 
Asa huyo mdudu c leeches jameni au naona vibaya????? We leeches gani asieonekana kwa macho???? Na hakuna mdudu anaeogopa moto kama huyo..... Acheni abali zenu za kizushi bhn. No lisechi no laiti tu spiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…