Mdudu kidoleni ushauri please

Mdudu kidoleni ushauri please

mwibi

Senior Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
131
Reaction score
79
Jamani ninashida ya kutopata usingizi kidole changu kimeingiliwa na mdudu nimeenda hospitali nimeandikiwa sindano tano hivi ni sindano ya nne Ila kama ndio nimekichokoza kinazidi kuongeza miumivu kila kukicha sasa nitumie dawa ili niepukane na shida hii
 
Saga Kitunguu Saumu kisha kipake sehemu yenye mdudu utapona. Ukipona lete mrejesho wako uguwa pole.
 
Nimeconent kwenye uzi mwingine angalia au nitafute 0712505049
 
Back
Top Bottom