ossy JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 872 Reaction score 143 Apr 19, 2012 #1 Wakuu huyu mdudu anasumbua sana watu hasa ukanda huu wa arusha,ningependa kujuzwa je ana sumu zaid ya kuunguza ngozi? na je kuna dawa ya hospital ya kutibu majeraha yake? samahanini kama nimekosea jina lake..
Wakuu huyu mdudu anasumbua sana watu hasa ukanda huu wa arusha,ningependa kujuzwa je ana sumu zaid ya kuunguza ngozi? na je kuna dawa ya hospital ya kutibu majeraha yake? samahanini kama nimekosea jina lake..