Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Leo asubuhi kuna mdudu wa kuruka kaning'ata juu ya jicho paliumaa halafu pakaanza kuvimba mpaka now jicho limevimba balaa ila sikufanikiwa kujua ni mdudu gani
Ushauri plz...
Ushauri plz...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawajua manyigu?Leo asubui kuna mdudu Wa kuruka kanibg'ata juu ya jicho paliumaa halafu pakaanza kuvimba
Mpka now jicho limevimba balaa ila sikufanikiwa kujua ni mdudu gn
Ushauri plz...
Nawaskia tu kwakweliUnawajua manyigu?
Yanapatikana wapi mkuu?!Huyo mdudu anaitwa Dingu dawa yake tafuta mafuta ya mshobo ujipake