Leo asubuhi kuna mdudu wa kuruka kaning'ata juu ya jicho paliumaa halafu pakaanza kuvimba mpaka now jicho limevimba balaa ila sikufanikiwa kujua ni mdudu gani
Ushauri plz...
Leo asubui kuna mdudu Wa kuruka kanibg'ata juu ya jicho paliumaa halafu pakaanza kuvimba
Mpka now jicho limevimba balaa ila sikufanikiwa kujua ni mdudu gn
Ushauri plz...