Mdumange uwe mdundo wa Uzalendo!

Mdumange uwe mdundo wa Uzalendo!

Una hoja nzuri kuhusu Midundo ya Kiasili, hususani wa Ngoma Asilia kama
Mdumange kutumiwa katika hafla mbali mbali?

Utumiaji wa Midundo ya Ngoma asilia , kweli, ni Heshima. Sio tu kwa Jamii na Kabila husika bali kinaonyesha kujali na kuheshimu Mila na Desturi za Muafrika. Mtanzania ambaye ni mjumuiko wa Makabila makubwa Duniani.

Kwa uhalisia, we are a natural conforming- "The, United States-people's of Afrika"


Rehema zikufikie.
 
Back
Top Bottom