Njoo huku Mexico tuishi....,tulime maparachichi na tuyalinde kwa binduki.....UKIENDA SHELI UTAKUTA WAMEANDIKA tangazo
SWITCH OFF MOBILE PHONE [emoji726]
Hapo hapo utakuta tangazo_lingine limeandikwa
LIPA KWA M-PESA
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] bongo bana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna nchi inayoishinda Mexico kwa ulimaji wa maparachichi duniani..Bora huko mkuu,bt hata mbeya pale mambo byee sana kwa sector ya parachichi (mbegu fupi) na inatoa balaa
Acha unaa we binti wa kibongo...Hata mimi imenishinda mada ya kero majadiliano ni kilimo cha maparachichi,
Mayo nene
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Acha unaa we binti wa kibongo...
Kafie mbali...[emoji57] [emoji57] [emoji57]