Me mgeni humu jamani nipikieni hata miguu ya mbuzi

Me mgeni humu jamani nipikieni hata miguu ya mbuzi

mickey drizzy

Member
Joined
Jun 19, 2015
Posts
30
Reaction score
3
habarini wenyeji

hope mmeshnda poa ila kwa wale wenzangu poleni na swaumu..

daah! ila nimechoka kweli nimebeba mafurush yangu yote nimehamia humu ndani nikaribishen jamani hata kwa miguu ya mbuzi me ntashukuru...
RAMADHAN QAREEM & IJUMAA MUBARAQ
 
kwa vile jf ni wala bata basi hiandae kufakamia miguu ya bata iliyobakia
 
Back
Top Bottom