me mpya!!!

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
7,171
Reaction score
15,760
Habari zenu bandugu,jama me mgeni humu jamvini hivyo naomba mnipokee.kama kwa mikono,miguu au vichwa haijalishi but mnipokee salama!ni hayo tu kwa sasa.
 
'umetokea wapi aisee mbona hujitambulishi aisee................kama umetokea bookface basi mambo ya kule yaache kulekule bookface aisee usiogope bure sikutishi bwana,karibu ndugu'
 
Hahahaaha mkuu kule niliingia ktk kutafuta tafuta jukwaa lakunifaa but nimeona wote mandazi ndo mana nimetia nanga humu baada yakufatilia mijadala yenu.asante kwakunikaribisha
 
'umetokea wapi aisee mbona hujitambulishi aisee................kama umetokea bookface basi mambo ya kule yaache kulekule bookface aisee usiogope bure sikutishi bwana,karibu ndugu'

Hahahaaa mkuu kule nilipita pita ktk kutafuta jukwaa lakunifaa nikaona wote mandazi ila b'zi nilikuwa naperuz humu mda mrefu kama mgeni nimeona nitie nanga hapa naona nitanoa bongo yangu vizuri.asnte kwakunikaribisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…