jaman nilikua na mpenz kwa miaka mitano na ushehe ila 2kaja achana na kila mmoja akaenda separate way, ikawa no calls, no sms hata salam na sasa kila mtu ana mpenz mwingine kwa takriban kama mwaka mmoja, ila nashangaa kila kukicha 2napigiana cm eti 2nasalimiana huku imekuwa ni siri kwa wapenz we2 wapya na 2mepanga appointment wikiend hii 2onane ili 2kumbushie game enzi ze2 6 * 6. Kwenda nataka ila naogopa ntanogewa then nikaja vuruga my new relationship.

Nani unampenda zaidi??
Ni bora kuchagua mmoja
..nilichogundua dunia haina siri
kuwa mkweli na nafsi yako dear..
Utaona raha zaidi kuliko kufikiria pande zote...
we vp ina maana my ex wako mtaalamu zaidi ya huyu wa sasa mpaka unaogopa kunogewa?