Me ni guest humu ndani naombeni karibu zenu banaaaa

Niko kwa hapa


Umetokea FB ehh na hayo makovu yako ya usoni (scarface),tena ulivokosea pa kujitambulishia acha waje wakubebe bebe,mpaka uchukie kwanini ulijileta

KARIBU SANA,upo mahali sahihi
 
karibu sana. Lakini hii siyo sehemu yake ya kukarbisha. Pia acha kuandika kihuni humu siyo fesibuku
 
Tafadhali humu ujitolee na wakutolee kafara "Kunafaida zake na kuna Hasara zake" pokea mazuri mabaya yasuse !! karibu sana pamoja JF
 
Fungua sasa hilo jicho, pole kwa kupiga chabo muda mreeeeefu.
lakini tuthibitishie kuwa wewe si miongoni mwa waliopewa simu na Januari makamba uje kufanya vurugu huku,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…