Me ni new member (nipokeeni)

Joined
Apr 10, 2013
Posts
71
Reaction score
14
Napenda kuwasalim wana mahusihano. Ntakuwa pamoja nany katika ushaur nk.npokeeni kwa pamoja kwa umoja
 
Ucjal kuhusu mizigo utaishudia mwenyewe.cjui ata km itaenea humu
 
Samahani hv we mgeni ni wa kike au wa kiume?hapa kwetu tuna mabinti nyie vijana hamkawii kujimilikisha vibinti vyetu bado vinasoma.
 
karibu ila kuna watunguaji humu kuwa makini lol
 
Karibu sana jamvini.
Je unatumia kinywaji gani ? Si unajua mgeni lazima kwanza umpe kinywaji pindi umkaribishapo nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…