Samahani hv we mgeni ni wa kike au wa kiume?hapa kwetu tuna mabinti nyie vijana hamkawii kujimilikisha vibinti vyetu bado vinasoma.
karibu sana ila hilo ndo jina lako halisi?
kama ndo hivyo safi sana maana wengine humu hizi avata sio kabisa
halafu jinsia yako?
Karibu sana jaman, nakupenda
karibu ila kuna watunguaji humu kuwa makini lol
Haya karibu morogoro huku.