me nimeamua tuachane tu

ney kush

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2012
Posts
1,407
Reaction score
916
kipindi tunaanza mapenzi alinionyesha sana love lakini sasa yupo chuo inafikia kiasi ananijibu hovyo,kunitukana,nikimwambia kitu haniskizi yanapomuharibikia anataka tusolve... mapenzi yetu yamekua ya kugombana kila wakati me nimechoka jana nikamwambia ukweli kwamba nimeshindwa... ila nampenda sana yani
 

kisebusebu hicho!
 
Oooh mdogo wangu,mapenzi kizungumkuti...kila mtu ana namna ambayo mapenzi yamemkatili...kama umekuwa victim mara zote na unakiri unampenda endelea kuvumilia eventually ataona upendo wako,beside unaweza kukaa kando na kuangalia maisha yako kwa kua mapenzi ni jambo moja katika mengi ambayo yanasababisha maisha yasonge...Regards!
 

ngoja nikae pembeni kwanza na haya mambo... thank u for your advice
 
pole, atakuwa kachanganywa na masomo labda
stay focused.
 
Polee..
May be warembo wa chuo wanamzuzua..
 
Kama ukiamua kumuacha, mwache na usiwaze sana maana mimi nipo kama spare tyre unaweza kuwa nami badala yake, na naahidi kutokupa frustration za aina yoyote. Unaponiona hapo kwenye picha usiniogope umbo langu, kwani ni kifua tu kipana lakini viungo vingine "muhimu" vyote ni size ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…