Madhara yapo kwani hata mkigombana atafukuzia umuache kwani hata mama yake anaishi pekee yake ataona hana sababu ya kukung'ang'ania
Heshima mbele wakuu!!ebana,me cjui nina gundu gani,yan kila mmanzi nilye wahi kuwa na uhusiano nae lazima anakua amelelewa na mzazi mmoja,wengi wao huwa wamelelewa na mzazi wa kike..ivi kuna madhara yoyote kuwa na let say wife ambae kapata malezi ya mama tu?over
FF Vipi wale ambao wamepewa taraka, na baba kafukuza mke na watoto, nao mzinzi dada. Vipi wale waliotelekezwa, waliobakwa na kupewa mimba na Vipi wale waliofiwa na mzazi mmoja kwa ajali na sababu nyinginezo bibie, nao wazinzi. NAKUOMBA DADA usiwe unakurupuka toka usingizini na kuandika bila tafakari ya kina . MS ameharibu kabisa kufikiri kwako wewe. Inawezekana kabla ya hapo ulikuwa mzuri tu kiakiliHiyo inaonesha jinsi nchi isivyokuwa na maadili, mijitu inazaliana hovyo nje ya ndoa. Uzinzi mtupu.