Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,385
Heshima mbele wakuu!!ebana,me cjui nina gundu gani,yan kila mmanzi nilye wahi kuwa na uhusiano nae lazima anakua amelelewa na mzazi mmoja,wengi wao huwa wamelelewa na mzazi wa kike..ivi kuna madhara yoyote kuwa na let say wife ambae kapata malezi ya mama tu?over
Wanawake wa aina hiyo mara nyingi huegemea sana kwa mama zao (hasa kama mama yake aliachika). Ukisema jambo hadi afuate ushauri kwa mama kwanza. Ndugu yangu angalia sana, kama hana akili akaegemea hivyo na huyo mama akawa mcharuko ujue umekwisha.
mi nayapa pole mawazo yako...
Hayo ni mawazo yako tu mafupi kwani wote wanoachika kwenye ndoa wanakuwa wamelelewa na mzazi mmoja, mbona wanadamu mnapenda kukufuru unazani wote wanaolelewa na mzazi mmoja walipenda?
Chuo anachosoma ndio kinamatatizo ........Ni kilaza w UDSM.
Wanawake wa aina hiyo mara nyingi huegemea sana kwa mama zao (hasa kama mama yake aliachika). Ukisema jambo hadi afuate ushauri kwa mama kwanza. Ndugu yangu angalia sana, kama hana akili akaegemea hivyo na huyo mama akawa mcharuko ujue umekwisha.
Narrow perspectiveMadhara yapo kwani hata mkigombana atafukuzia umuache kwani hata mama yake anaishi pekee yake ataona hana sababu ya kukung'ang'ania
Senator care to mention ni wangapi?