Me & You

Kuna couple mpya inaweza kutangazwa kuanzia hiyo wiki ijayo. Bado maandaliz yanaendelea. Nasisitiza ni new. Mpya kabisa
 
Msimamo wa ligi umebadilika, coast union ya Tanga inashika namba moja mpaka sasa
 
Na hii season 3 sehem kubwa ni yake, nyimbo zinazomhusu ntaziweka kwenye uzi huu
 
Zingine zisizomhusu ntaziweka kule wasap
 
Albam inaitwa Tabasamu. Na mpaka sasa ina nyimbo mbili.
 
Ommy dimpoz ft vanessa mdee - me & you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…