Me..

Me..

karibu sana jf.chemsha bongo uliyoweka una jibu sahihi lakni?
 
Hivi umemuelewa??

hahahahaha......me nimemkaribisha tu,kuna mtu aliwahi kuniandikia sms,hata sikumuelewa nikamwambia asifupishe neno hata moja.aliandika''Afu we get umewk''.nilipata wakati mgumu sana hapo.huyu nae kaweka mpaka mkwaju hapo,''PPO mkwaju 1.(2po=ppo)
 
Anha kuumbe, daah sry mshkaji kumbe hilo neno "2po/1" maana yake ni "tupo pamoja" jamaa ulikimbia math, na hii je utaisomaje "km/h"
 
Ha ha ha haaah,,,,ni taabu tupu.
 
Anha kuumbe, daah sry mshkaji kumbe hilo neno "2po/1" maana yake ni "tupo pamoja" jamaa ulikimbia math, na hii je utaisomaje "km/h"

kumbe hiyo ni hisabati!!!!nan yupo sahihi sasa?
 
Anha kuumbe, daah sry mshkaji kumbe hilo neno "2po/1" maana yake ni "tupo pamoja" jamaa ulikimbia math, na hii je utaisomaje "km/h"

we unaisomaje 2po/1 kama tupo pamoja?pa ikowapi hapo?na hiyo 2 ni mbili kwa maneno 'two in english'.sasa 'tu'inatokea wapi?
 
hear writting is neglectect while pronounciation is considered.. du u get it..
 
Back
Top Bottom