Kilewa Son
Member
- Feb 8, 2013
- 56
- 7
karibu sana jf.chemsha bongo uliyoweka una jibu sahihi lakni?
Hivi umemuelewa??
ww ucogope, nothing has got no answer..
hahahahaha......me nimemkaribisha tu,kuna mtu aliwahi kuniandikia sms,hata sikumuelewa nikamwambia asifupishe neno hata moja.aliandika''Afu we get umewk''.nilipata wakati mgumu sana hapo.huyu nae kaweka mpaka mkwaju hapo,''PPO mkwaju 1.(2po=ppo)
Anha kuumbe, daah sry mshkaji kumbe hilo neno "2po/1" maana yake ni "tupo pamoja" jamaa ulikimbia math, na hii je utaisomaje "km/h"
Anha kuumbe, daah sry mshkaji kumbe hilo neno "2po/1" maana yake ni "tupo pamoja" jamaa ulikimbia math, na hii je utaisomaje "km/h"
Ha ha ha haaah,,,,ni taabu tupu.
hear writting is neglectect while pronounciation is considered.. du u get it..
Hahahaaah,,,,,,huonewi kijana, tunachangamsha tu mjadala.mbn unanionea mshkaji..
mbn unanionea mshkaji..
Hi thr, r u thr.!? not as new but i was a little bit busy.. 2po/1