meal allowances

Salanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
364
Reaction score
44
Wakuu naomba mwenye information juu ya ongezeko ya pesa za bodi.napenda kufahamu iwapo ongezeko hili ni kwa ajili ya wanafunzi wa ndani ya nchi pekee au linaafect hata wale walio nje ya nchi maana tunasikia ndugu zetu huko Russia wana tatizo na ni vyema wangekumbukwa. Hivi kama hawajaongezewa waendeleze fight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…